Uhuru wa vyombo vya habari unazidi kudidimia kote ulimwenguni na matukio ya hivi karibuni ya utawala mpya wa Marekani yamezusha maswali iwapo dola hiyo imebadili mkondo. Uhuru wa vyombo vya habari ...
Vyombo vya Habari nchini Tanzania vimepigwa marufuku kutangaza ushuhuda unaotolewa mbele ya tume inayochunguza ghasia za ...
Ukiwa nje ya Gaza, ni vigumu kufahamu ukubwa wa mateso wanayopitia raia wa huko. Siku ya Jumatatu tarehe 21 Oktoba, video iliibuka kutoka Jabalia baada ya mashambulizi ya Israel kaskazini mwa Gaza.
Waandishi wa habari kumi wa Uturuki, akiwemo mpiga picha kutoka shirika la habari la AFP, wamekamatwa siku ya Jumatatu, Machi 24, nyumbani kwao huko Istanbul na Izmir (magharibi), jiji la tatu kwa ...
Kutekwa kwa mji wa Goma na maeneo jirani na kundi la waasi la M23 kulisababisha kuibuka kwa taarifa potofu. Wakati DR Congo na Rwanda zikitupiana shutuma, watumiaji wa mitandao ya kijamii walikuwa ...
Wanafunzi mia moja kutoka shule ya kikatoliki magharibi mwa Nigeria, waliotekwa nyara mnamo Novemba 21 na watu wasiojulikana wenye silaha, wameachiliwa, chanzo cha Umoja wa Mataifa na ofisi ya rais wa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results